News
Loading...

Dawasco yaionea wivu Tanesco!


 
Makao makuu ya Tanesco.
Taswira jijini Dar tangu jana.

Katika hali ya kushangaza mamlaka ya Maji Dawasco imeonesha kuwa na wivu na shirika la ugavi wa nishati ya umeme kwa jinsi linavyotutesa kwa kutupatia umeme kwa mgao na wao Dawasco nao wametukatia maji tangu juzi mchana mpaka jana usiku, hakukuwa na dalili zozote za maji kutoka  . Yaani tmekuwa kama familia isiyo na baba wala mama. Jana kila ulipopita jijini ungeweza kuona ndoo na madumu  ya kila aina yalivyotapakazwa  huku na kule.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :