News
Loading...

Gadna aingilia kati!


Kushoto ni Adelah Kavishe na Adelah Tilya
Kushoto ni accademy  Moderator Gadna  G na Josh EATV.
Katika hali ambayo haikushangaza wengi hasa kutokana na uzuri wa msichana mrembo Adelah Kavishe (wa kushoto pichani kushoto) amekuwa akiwapa taabu  wana akademi wengi wa jinsia ya suruali (mimi simo) ilikuwa kila pale Adela alipokuwa akichukuliwa picha ya karibu (Close up) kelele ziliibuka kiasi kwamba ilipelekea moderator Gadna G akaingilia kati na kuomba picha ya Adelah isiwekwe kwa muda mrefu katika zile flat screen. Mind you guys Adelah is in very serious relation so just Dont Even Think About It! Adelah alikuwa miongoni  wa wana akademi 100 walioteuliwa kwenda kufanya uteuzi wa wanamuziki watakaowania tunzo Kilimanjaro za mwaka 2011

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :