News
Loading...

Kumbe Dida ana kipaji kingine!


Mtangazaji wa radio Times Fm akitoa burdani.
Adina Howard.
Jana katika party ya wana akademi wa Kili Music awards mtangazaji wa Radio times Fm alishangaza wengi pale aliposhika kipaza sauti na kuanza kuimba wimbo wa Freak like me wa Adina Howard. Dida aliuimba wimbo huo kwa ustadi kiasi kwamba alipomaliza Mc Adam Mchomvu alimuomba arudie lakini yeye akaamua aimbe wimbo wa Mc Lyte ambao aliuimba vizuri kwa kufuatisha mashairi kama msanii wa kila siku na hilo lilipelekeea akatunza pesa nyingi na wana akademi wenzake.
 
Burudani zaidi.
Dida akipongezwa baada ya kuimba wimbo wa Mc LyteFACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :