News
Loading...

Mnaonaje?


Mkala  Fundikira wa keronyingi.blog
Wapendwa wadau napenda kuwashukuru kwa support yenu amabapo kama mme notice tangu jana mmekuwa mkiingia humu kwa wingi sana, niseme tena ahsante sana kwa kuwa bila nyinyi kuingia humu na kusoma ninachokiandika haitokuwa na maana yeyote hivyo nawahitaji sana wadau wangu. Nimepata maoni toka kwa baadhi yenu mkitaka jina la blogu hii ibadilike yaani kutoka keronyingi.blogspot.com kwenda Mkalafundikira.blogspot.com. Je nyie mnalionaje hilo? Pia miongoni mwenu yumo pia na muendesha blogu mzoefu na maarufu ambaye sitomtaja jina lakini ameshauri pia nibadili jina. Hili nawarudishieni ninyi wadau mnipatie jibu naomba mtoe maoni yenu hapo chini. 

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

4 comments :

Mohamed Kiswagara said...

Well bro , sioni kwa nini ubadilishe hilo jina , kwanza angalia kwa nini wewe mwenyewe ulilichagua jina hilo , may b inabidi kuwaelimisha hao wanaotaka ubadilishe kwa nini ulichagua jina hilo . Kitu kingine watu wengi wanalijua jina hili ambalo mimi naona linaambatana na blog yako . Kwa maoni yangu keep the name bro .

nunda said...

unajua uzuri jina la keronyingi mtu akiwa nakitu kina mkera atasema kinachomkera,sijui na kwa mimi binafsi sina matatizo na jina.

Anonymous said...

Sina matatizo na jina,ni jina zuri sana hata kukaririka liko jepesi ila cha msingi jaribu kuweka vitu vinavyoendana na jina la blog yako,mfano umeweka kumbe dida anakipaji kingine so sijui kero yake ni nn hasa? Jina la blog yako ni zuri sana linatakiwa liendane na matini ili vishabihiane.

copa cabana said...

mbona mi naona poa kaka ila kama wewe unamind kueka jina ilo ni vizuri c zani kama mtu anaweza sahau akapiga simu kumuliza mwenzie eti brog yake inaitwaje...atakua anaingia moja kwa moja na jina... bless u