Jana usiku niliposindikiza mtu airport ya Dar nikapatwa na haja ndogo kali si unajua baada ya mtindi huwa lazima uende, basi picha hizo zinajieleza. Sasa sijui ingekuwa number two ingekuaje? Loh! bora hiyo airport mpya ijengwe haraka!
Pamezibwa na trolleys. |
0 comments :
Post a Comment