News
Loading...

Ya Loliondo yatokea Tabora pia.


Umati wa watu wakiwa wamepanga foleni ili kupata kikombe cha dawa

Dada Magreth Mutalemwa mkazi wa Urban Quarter Uzunguni, Tabora mjini amejitokeza na kudai alioteshwa kutibu watu na Bikira Maria, mpaka sasa OCD yupo hapo kwa dada na ameniambia kuwa yeye alishapata kikombe cha dawa toka kwa dada na amejitapa hatoondoka pahala hapo mpaka askari zaidi watakapowasili kuongeza ulinzi.Watu kadhaa wameonesha imani na dawa ya dada na kusema wana nafuu tangu wanywe dawa ya dada. Kamati ya ulinzi na usalama itakaa muda mfupi kujipanga na mfumuko wa watu watakaokuja kufuta huduma ya dada Magreth Mutalemwa. Habari zaidi zitaendelea kuwajia wapendwa wadau! 
Add caption


Huyu ndiye dada Magreth Mutalemwa.


Askari wakitoa ulinzi kwa Dada.

SUBIRA, wanasubiri huduma!


Diwani Zinduna Kambangwa akitoa ushuhuda kwa Afisa usalama wa wilaya ya Tabora,nyumbani kwa dada eneo la uzunguni au urban quarterAfisa usalama wa wilaya ya Tabora akisisitiza jambo nyumbani kwa dada.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :