News
Loading...

Adha ya mvua maeneo ya Mwenge Bamaga, jijini.


Leo hii majira ya mchana ilinyesha mvua kubwa ya ghafla ambayo ilidumu kwa nusu saa tu lakini maajabu iliyoyafanya sijawahi kushuhudia kama ioneshapo picha mwendo hapo juu. Maji hayo yanatoka mferejini kwa namna moja ama nyingine yalikuwa yakiruka juu kana kwamba pana mashine inyarusha juu.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :