News
Loading...

Ajira kwa watoto!


Dogo akisukuma mkokoteni mbele ya Kituo cha polisi Tabora
Pamoja na shirika la kazi duniani (ILO)kupigia kelele ajira kwa watoto lakini bado watoto wamekuwa wakifanya au kufanyishwa kazi tena huyu pichani katoa kali kwa kukatiza mbele ya kituo cha polisi bila hata kuamkia na akapita salama na kuendelea na safari yake.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :