News
Loading...

Alama ya tuta au?


Kumbe hata Tabora alama hizi hugeuzwa?
Mdau ukitazama kushoto mwa picha ni kituo cha polisi ambamo ndimo wanafanyia shuhuli zao wale polisi wanaovaa nguo nyeupe( Yange yange). Hiyo alama itendelea kuwa hivyo mpaka mwaka kesho si yange yange wala halmashauri watakaoirekebisha.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :