News
Loading...

Rio hatarini kufungiwa na FA!


Baloteli akishangilia nbele ya mashabiki wa Man united baada ya filimbi ya mwisho.
Kitendo cha Mario Baloteli (kichwa maji) kushangilia mbele ya mashabiki wa Man united baada ya filimbi ya mwisho kiliwaudhi Anderson na Rio wakaanza kusukuma aondoke eneo hilo mara akaingilia Manchini na hatimaye Dvid Platt aliyefanikiwa kumtuliza Rio ambaye alifikia kumvuta jezi Baloteli kwa hasira kabla ya kuachanishwa naye. Ninavyoijua FA ya England kwa sasa wanawashwa mikono kupokea ripoti ya mwamuzi Mike Dean. Kwa ufahamu wangu Baloteli pia anapaswa kuadhibiwa na mifano ipo huko nyuma watu waliadhibiwa kwa kushangilia mbele ya mashabiki wa timu pinzani. Rio Ferdinand ameomba msamaha kwa wote kupitia ukurasa wake wa Twiter

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :