News
Loading...

Dada Mage atengeneza milioni sita ndani ya wiki! Je babu Ambi?


MAGE MTABIBU; Milioni sita kibindoni

Msururu wa watu ukisubiri kikombe cha dawa wiki jana
Kwa hesabu za haraka haraka na kwa umati nilioushuhudia kwa dada Mage mtabibu wa magonjwa sugu aliyejitokeza mjini Tabora eneo la Uzunguni katika siku nne alizopata watu wengi wahitaji wa kikombe chake cha dawa, atakuwa ameweka kibindoni kiasi cha shilingi milioni sita (6,000,000) hivi kama sikosei la si chini ya hapo tena basi dada huyo hakusema kama katika sh 500 anayotoza kuna pesa yoyote iendayo Kanisani au Msikitini kama Mchungaji Ambilikile alivyodai. Sasa je kama Dada Mage katengeneza kiasi hicho cha pesa katika siku nne? Mchungaji atakuwa ametengeneza pesa ngapi? jiulize tu!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :