News
Loading...

Katika lango la Mlimani City napo!


Mvua ilipoanza kunyesha leo mchana nilikuwa Mlimani City, pale aidha hapana kabisa mtandao wa maji taka au uliopo una mifereji midogo mno, ilikuwa kutoka ndani ya Mall kwenda katika gari unaloa viatu mpaka soksi na maji yanaingia mpaka ndani ya viatu, na hii imesababishwa na pale katika maegesho ya magari majai yanakaa hayana pa kwenda. Na hapo penyewe ndipo palikuwa chanzo cha maji mengi yaliyotoka humo kuingia barabarani (Nelson Mandela) na kuleta mtafaruku mkubwa katika maeneo hayo.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :