News
Loading...

Hongera! Lakini kiwango cha lami vipi?


Baada ya kusua sua kuikamilisha barabara hii hata kwa kiwango ilichonacho hivi sasa mkandarasi wa barabara hii kiungo cha Msisiri (Kinondoni B) na Mwananyamala  (Kwa Kopa) ameanza kusua sua tena kuimaliza kwa kiwango cha lami. Haileweki kama tatizo lipo kwa watoa zabuni au kwa mzabuni. Kukamilika kwa kiungo hiki pataleta nafuu kubwa ya kupungua kwa misururu nyakati za asubuhi na nyakati za jioni kwa kuwa watumiaji watakuwa na macgaguo tofauti ya njia za kupita kutokana na maeneo watakayotaka kuelekea..
Picha hii niliichukua tarehe 29/01/2011


Na hii niliichukua tarehe 15/dec/2010.


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :