News
Loading...

Ni Chidi Beenz au Chidi Benz?Rashidi Benzino aka Chidi Benz.
 Kumekuwa na mkanganyiko juu ya uandikwaji wa jina la msanii nguli wa kufoka foka aitwaye Chidi Benz ambapo mara nyingi nimesoma makala tofauti magazetini na hata katika blogu moja leo hii ameandikwa kama Chidi Beenz. Kwa umbumbu wangu mimi na akili zangu za ki bwege nafahamu jina hilo linapaswa liandikwe BENZ na sio BEENZ kama linavyoandikwa na wengi. Pia ninavyofahamu jina CHIDI BENZ linatoka na jina halisi la msanii huyo la Rashidi Benzino na sio BEENZIO. Na sitoishia hapa tu katika hili bali nitamtafuta RASHIDI BENZINO nimuulize kipi ni kipi.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :