News
Loading...

Video mpya ya HMBizo runingani kuanzia jumatatu!


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hamis Mbizo aka HMBizo anatarajia kuachia video yake mpya ya wimbo Kisiwa siku ya jumatatu kupitia runinga zote za jijini Dar. Hmbizo ambaye katika miaka ya karibuni alipotea katika game kwa sasa anatamba redioni na runingani na wimbo wake wa mvute mvute.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :