News
Loading...

Vodacom walipozindua nembo mpya ya Miss Tanzania!


     Bw George Rwehumbiza


Nembo mpya ya Miss Tanzania.

Kutoka kushoto ni Hashim Lundenga, Makoye na GeorgeRwehumbiza.

Rugeh Mutahaba na Mkala Fundikira
Muandaaji wa Miss Tabora Mgalula Fundikira na Flowers.
Siku ya Ijumaa katika hoteli ya Kilimanjaro Kepinski kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania pamoja na Lino International kampuni inayoandaa shindano la Miss Tanzania zilizindua nembo mpya ya Miss Tanzania 2011 tukio hilo lilifuatia baada ya Vodacom wenyewe kubadilisha nembo yao toka rangi ya Blue na kuwa nyekundu.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :