News
Loading...

Hmbizo afanya mahojiano na Star tv!


Mtangazaji Sauda Mwilima akiwa na Hmbizo baada ya mahojiano.
Huyu ndiye mpiga picha wakipindi cha Afro Beat.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flava Hamisi Mbizo aka HMbizo leo hii alifanya mahojiano na kipindi cha Afro beat kinachorushwa na Star tv huku kikitangazwa na Sauda Mwilima. Dhumuni la mahojiano hayo ilikuwa ni kutambulisha video yake mpya. Vile vile Hmbozo ameeleza kuwa tarehe 27 amepata show mjini Tabora katika onesho la Miss Tabora.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :