News
Loading...

Kwa nini uige mchezo wa Barcelona?


Kombe linalomtoa udenda Sir Alex Ferguson.
Siku ya jumamosi tarehe 28/05/2011 tuliishuhudia FC Barcelona ikiiburuza Man united na kuitwanga bao 3-1. Hakuna asiyejua uwezo wa Barcelona, bado nilishangazwa na Man united kujaribu kucheza kama wao, siku zote Man u ikicheza mchezo wake wa counter attacking dhidi ya Arsenal hutoka kifua mbele na ilivyokuwa mwaka 2008 katika nusu fainali ya Champions league, United iliitoa Fc Barca kwa bao 1-0. Kwa nini Sir ALex Ferguson hakutumia formula ile mimi na wewe hatuelewi. Pia magoli la pili na la tatu yalikuwa mepesi sana kwa Van De Ser kufungwa, nafikiri imekuwa vema sasa ana retire. Hongera Barca! Man u need to improve!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :