Kutoka kulia ni Mgalula Fundikira, na Mr & Mrs Adam Fundikira
Ankal Michuzi kiwa amesimama nyuma ya maharusi
Keronyingi blog inapenda kuwapongeza Bwana na Bibi Adam Fundikira wa Tabora kwa kuadhimisha miaka 26 ya ndoa yao waliyofunga mwaka 1983 jijini Dar na ndoa hiyo kuwapatia watoto watatu Sakina, Sasha(Sambwe) na Sizya.
0 comments :
Post a Comment