News
Loading...

Mashimo yaanza Dunga street1


Hapa ni ubavuni mwa kanisa la Asemblies of God, Dunga street

Magari yakipita kwa taabu kidogo mahala hapo.
Hapa ni pembeni mwa kanisa la Asemblies of God, Kinondoni "B". Kipande kidogo cha barabara ya Dunga yenye lami iendayo Mwananyamala hospital kimeharibika na kipo katika stage za mwanzo, ingekuwa vema kikawahiwa kufanyiwa matengenezo ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji lakini kama ilivyo ada mahala hapo mpaka patachimbika handaki hatutoona marekebisho yoyote, tusiandikie udelele wakati wino upo. Tusubiri.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :