News
Loading...

Makazi hatari!


Mvua moja kubwa inaweza kuangusha nyumba hizi.

Wakazi hawa wa Tabata Kimanga wakisukana nje ya nyumba yao
Pichani juu wanaonekana akina dada wawili wakisukana nje ya nyumba mojawapo, nyumba yao inaonekana kuwa katika mkondo wa maji ya mvua na hatua ama za kuimarisha misingi ya nyumba hizo au kuhama mahala hapo hazitochukuliwa basi panaweza leta maafa makubwa siku mvua ikinyesha kwa muda mrefu.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :