News
Loading...

Miss Tabora advert!Wakazi wa mkoa wa Tabora wameaswa kujipanga kwa kuhudhuria fainali ya shindano la kumsaka mrembo wa mkoa Vodacom Miss Tabora mnamo tarehe 27/05/2011 katika ukumbi wa New Royal Garden . Mshindi na washiriki wengine wawili watakwenda kuuwakilisha mkoa huo katika mashindano ya Kanda ya kati. Kanda ya kati hujumuisha mikoa ya Kigoma, Tabora, Singida na Dodoma ambapo washindi wa kwanza , wa pili na watatu hupata tiketi ya kushiriki shindano Vodacom la Miss Tanzania. Miss Tabora mwaka itakuwa na burudani babkubwa toka kwa Vijana wa THT Amin, Bekah na  Nash D pamoja na wasanii Steve RnB na H-mbizo ambaye atatamulisha rasmi single zake mbili Kisiwa na Loliondo. Habari zaidi zitafuata.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :