News
Loading...

Paa la kituo laanguka


Paa la kituo cha dala dala cha Morocco hotel likiwa limeanguka.
Pichani ni paa la kituo cha cha dala dala cha Morocco hotel likiwa limeanguka bila shaka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini hapa, tangu niline paa hilo zimepita siku nne sasa tusubiri wahusika waje liweka sawa.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :