News
Loading...

Heading kama hii ingependeza katika ukurasa wa michezo


Kichwa cha habari hapo pichani kingependeza zaidi katika kurasa za burudani na si katika serious issue kama hiyo, kwa mfano ingeandikwa Man United yaitwanga Chelsea au Arsenal ingeeleweka na wengi wangependa. Lakini hii inaweza ikatafsiriwa vibaya na watu wengine, na sidhani kama hilo ndilo lilikuwa kusudio la mwandishi wa habari hiyo inayoeleza "askari polisi apigwa risasi ya paja katika harakati ya kuzima wizi katika mgodi wa dhahabu Nyamongo.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :