News
Loading...

Siku Sivuno Fundikira alipotimiza mwaka mmoja!


Sivuno with Mumy Lucy!
Birthday girl with uncle Mkala.

Baby Sivuno with uncle Gaby.
Mtoto Sivuno siku ya ijumaa alitimiza mwaka mmoja tangu azaliwe, kwa bahati mbaya Sivuno alizaliwa akikuta baba yake pichani chini amefariki miezi kadhaa iliyopita, kwa kilichosemakana kuuawa kwa kupigwa na wanajeshi watatu ambapo taarifa za kitaalamu zilieleza alipata majeraha makubwa kichwani hasa sehemu ya ubongo. Kesi ya Hayati Swetu Fundikira bado haijaanza kusikilizwa na Mahakam Kuu nchini pamoja na kuwa upelelezi ulikamilika karibu miezi sita iliyopita.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :