News
Loading...

Miss Tabora ndie huyu, kanda ya kati kaeni chonjo!


Flora Michael mara baada ya kutvikwa taji la Miss Tabora 2011
Kulia kwa Flora ni mshindi wa tatu Dalilah Gharib Maua Kimambo 
Usiku wa tarehe 27/05/2011 katika ukumbi wa New Royal Garden ndie mrembo Flora Michael (21) ambaye ni mwanafunzi katika chuo cha Saint Augustine tawi la Tabora akichukua degree ya Barchelor of arts with education mwaka wa kwanza alifanikiwa kushinda taji la Miss Tabora 2011/12 baada ya mchuano mkali kati yake na mshindi wa pili na wa tatu. Flora ambaye ni Masai kwa kabila kwa hakika wadau wa masuala ya urembo wametabiri atafika mbali.Florah alifutiwa na Maua Kimambo aliyekuwa mshindi wa pili na Dalilah Gharib aliekuwa wa tatu. Watatu hao wataenda kuiwakilisha Tabora katika shindano la Miss Kanda ya kati litakalofanyika Dodoma tarehe 24/06/2011. Katika Miss Tabora Mshindi wa kwanza alijipatia Dell laptop mshindi wa pili alipata Dell computer desktop na wa tatu alijipatia Dvd player na subwoofer.


Hapa akiwa katika vazi la ubunifu.

Hapa akiwa katika vazi la ufukweni.

Kwa picha zaidi log in to mkalamatukio.blogspot.com picha kwa hisani ya Juma Kapipi


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

Anonymous said...

shes un angel she is the 1will take as to miss TANZANIA