News
Loading...

Nani wenye chama cha mapinduzi?


Moja ya nyumba za wakereketwa Chama Cha Mapinduzi
Kwa mshangao wangu bendera hizi za chama si aghalabu kuzikuta katika mahekalu ya viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ndio haswa hufaidika na Chama kama kupata uwaziri, ukuu wa mikoa na kadhalika, lakini wenzangu na mie pangu pakavu ndio wenye kuzipepea bendera hizo huku wakiambulia khanga, kofia, fulana na vitu vingine vidogo vidogo.
 
Hawa ndio wenye chama.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :