Mh Mkulo-WaZiri wa Fedha |
Zitto Kabwe: Pesa za posho ziende kwingine. |
CHADEMA inadai pesa hizo zipelekwe katika sekta za Afya, Elimu na Barabara kitu ambacho ni kizuri sana na kinaonesha kujali wananchi, lakini sijui mtazamo wa wabunge wa CCM upo vipi juu ya hilo? Vita hii naifananisha na zile hufanywa na Sir Alex Ferguson kabla ya mechi muhimu dhidi ya wapinzani wake maarufu kama MIND GAMES sasa wabunge wa CCM wakilipinga hilo si wataonekana hawawajali wananchi wao? Mind games!!!!
3 comments :
Hapo patamu ngoja tusikie CCM watasema nini.
Hili suala mi naliunga mkono, kwani sioni mantiki ya mbunge kulipwa perdiem ambayo ni haki yake kwa vile nje ya kituo cha kazi halafut tena alipwe posho ya kikao ambayo ndiyo kazi yake ya msingi. Kima cha chini cha mshahara Tsh. 120,000 halafu posho ya mbunge akiwa bungeni mbali na perdiem yake ni takriban 150,000. Kwa kweli serikali ya CCM ituonee huruma wanyonge, tunateseka ndani ya nchi yetu. Angalau tunakuwa na imani na hawa CHADEMA kwani wameonyesha mfano wa kutujali wananchi.
Dah hata la kusema sina, mimi ni hoi lakini ndio Tanzania yetu hii! Hopefully mind games za CHADEMA na Zitto zitatuvusha hapo.
Post a Comment