News
Loading...

Uhaba wa maji mkoani Tabora hauathiri binadam tu!


Bata huyu akijaribu kukomba maji katika bomba lisilotoa maji kwa kipindi hicho. Tabora ni mkoa wenye shida kubwa ya maji na ahadi ilitolewa mwaka jana kabla ya uchaguzi mkuu na Rais Kikwete kuwa angepeleka huko maji toka lake Victoria.


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :