Usafiri huu bado unatumika mjini Tabora na mikoa mingi mingine. |
Taswira yetu ya leo mjini Tabora, kijana anaonekana akikatiza mtaa wa Rufita akiwa kapanda mkokoteni unaosukumwa na punda huku ukiwa umesheheni miti ambayo hutukmika kwa shuhuli mbali mbali.
0 comments :
Post a Comment