News
Loading...

Electricity generator For Sale


Hii ni mashine ya kuzalishia umeme.
Details za kinu hiki

Hiki ni kinu cha kuzalisha UMEME (moter)ambayo inauwezo wa kuzalisha K.W 75. Motor hii imetengenezwa England na inafanya kazi na ipo ktk hali nzuri.Kinu hiki kinazalisha umeme kwa njia ya upepo yaani kwa kutumia (WIND TURBINE) pangaboi na si mafuta kama inavyo tumika ktk generator ya kawaida.Kwa kuwa K.W.75 ni kubwa sana kwa matumizi ya nyumbani hivyo kina uwezo wa kuendesha hata kiwanda cha wastani.Kwa kukadiria matumizi ya umeme ktk nyumba inaweza kufikia K.W.6-7. Mashine hii inauzwa kwa shlilingi 7.5M. Na maongezi yapo. Piga simu no 0717810318 Habibu

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

power generator for sale said...

Electricity is most often generated at a power station by electromechanical generators, primarily driven by heat engines fueled by chemical combustion or nuclear fission but also by other means such as the kinetic energy of flowing water and wind. There are many other technologies that can be and are used to generate electricity such as solar photovoltaics and geothermal power.