Wapendwa wadau naungana na wa Tanzania wenzangu kuomboleza vifo vya wenzetu vilivyotokea huko Nungwi,Unguja baada ya meli Mv Spice kupinduka na kuzama ilipokuwa njiani ikielekea Pemba. Inasadikika kuwa watu wapatao 200 wakiwemo watoto walikufa maji. Mungu awape wafiwa subira kwani yote hii ni mipango yake Muumba. Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment