News
Loading...

Huu ni ukweli si ubaguzi!


Wadau, kuna makala niliandika ikiwa na kichwa cha Je wajua? Makala hiyo ilizungumzia uwepo mdogo wa mameneja weusi katika vilabu vya soka ncini England, haina ubishi kuwa ni kweli katika vilabu 92 kuna mameneja wawili tu weusi. Uwepo huo mdogo sifahamu unatokana na nini wala sijadokeza unasababishwa na nini, lakini tayari nina mdau wangu mmoja anadai nimeanza tena ubaguzi kwani nilianza kwenye dini sasa naingia katika rangi. Pia amethubutu kudai "mbona Marekani pia katika basket ball makocha ni weupe watupu? Lakini ukweli ni kuwa katika timu 30 za NBA kuna makocha weusi wapatao kumi. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa hakuna hata mweusi mmoja anafundisha katika timu za English Premier League msimu huu!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :