News
Loading...

Breaking news! Soko jipya la Mbeya laungua!


Moshi  mkubwa ukiwa umetanda anga ya jiji la Mbeya leo!
Habari zilizothibitishwa toka kwa wakazi wa Mbeya zinasema soko kuu jipya la Sido mjini humo limewaka moto kwa muda upatao saa 3 zilizopita ambapo juhudi za kuuzima hazjazaa matunda bado!
Picha zaidi zitafuata!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :