News
Loading...

Wa kushoto kulia wa kulia kushoto, kazi ipo!


Magari yakipishana kifaransa kati
Hali hii inaonesha jinsi madereva jijini Dar wasivyoheshimu sheria za barabarani, mwenye haki ya kupita upande wa kushoto anapita kulia na mwingine kadhalika anapita kinyume. Nafikiri umefikia wakati wa Tanzania tuendelee na tuache kukumbatia mambo yasiyo na maana na maendeleo si majengo marefu na barabara za juu, bali yapo vichwani mwetu ni kiasi cha kuyakubali tu na kuyafanyia kazi, Kwa mfano unajua fika uvunjaji wa sheria za barabarani husababisha ajali kwa nini uendelee kuzivunja sheria hizo?

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :