Mtoto wa Kichina mwenye miaka 6 Wang Xiaopeng amekuwa bila nywele, nyusi na midomo huku vidole vyake vyote vikiwa vimekatw. Dogo huyo aliungua baada ya chanja la kuhifadhia mazaokushika moto karibu na kwao katika jimbo Ningxia. Wazazi wake walimuwahisha dogo huyo katika hospitali ya Ningxia ambapo alifanikiwa kupona baada ya matibabu ya miezi mitatu. Moto huo ulimharibu vibaya sana mtoto Wang.

0 comments :
Post a Comment