News
Loading...

Hatimaye Steven Kanumba azikwa!Hapa ni baadhi ya maelfu ya waombolezaji wakielekea makaburini
Asha Baraka akiwa na Mama wa marehemu wakiingia makaburini
Hatimaye marehemu  Steven Kanumba amezikwa leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Na hilo limetokea baada ya utaratibu kuvurugika kutokana na watu kuwa wengi kupita ilivyotarajiwa na kusababisha kamati ya mazishi kusitisha mpango wa utoaji heshima za mwisho kwa maelfu ya watu waliojitokeza kutaka kumuaga mpendwa wao Steven Kanumba. Mungu ampumzishe kwa amani rafiki yetu kijana mwenzetu!

Hapa ndio mwisho wa safari ya Steven Kanumba.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :