
Wakati waumini wa kiyahudi walipokuwa wakitoka ndani ya sinagogi katika mji mkuu wa Norway Oslo kulikuwa na shangwe wakati vijana wa kiislamu walipowazingira kama ishara ya amani.
Warsha hiyo ilipangwa na vijana wa kiislamu na inafanyika wiki chache baada ya kijana mmoja mzaliwa wa Denmark mwenye asili ya Kipalestina kuwaua watu wawili kwenye sinagogo hilo. Waislamu na wayahudi wamekuwa na mahusiano mabaya miaka yote hasa kutokana na vitendo dhalimu vya serikali za Israel dhidi ya Wapalestina!
Habari na BBC swahili
0 comments :
Post a Comment