News
Loading...

EBOLA: Liberia yafungua mipaka yake!



Wauguzi wa waathirika wa Ebola wakijadili kitu.
Mipaka ya Liberia imefunguliwa rasmi, miezi 7 baada ya kufungwa kwa sababu ya janga la ebola.
Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, alisema hatua zitachukuliwa kuhakikisha kuwa virusi vya Ebola havitoingia tena nchini kwa kupitia mpakani. Amri ya kutotoka nje usiku itaondoshwa leo. Idadi ya watu wanaoambukizwa Ebola nchini Liberia, ni asilimia 10 tu na ilivyokuwa wakati wa kilele cha ugonjwa huo.
Habari na picha kwa hisani ya BBCswahili

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :