Hali ilivyo katika stendi kuu ya mabasi Tabora.
Madereva wa mabasi ya usafiri wa abiria toka Tabora kwenda Dar es Salaam na mikoa mingine wamegoma alfajiri ya leo. Inasemekana kuwa sababu zao za kugoma ni kutokana na masharti mapya na magumu yaliyowekwa na mamlaka husika ambayo ni (1.) Dereva akitaka kuongeza muda wa leseni yake atatakiwa alipe aende kozi ya udereva kwa muda wa Tsh 560,000 (laki tano na sitini)
Hali ya sintofahamu ikiindeilea kugubikwa mjini Tabora.
Basi la kampuni ya NBS Co.LTD yakiwa yamepaki kituo kipya cha mabasi Tabora asubuhi hii.
Basi la kampuni ya HBS Express
Hakuna mwafaka unaoendelea hadi sasa muafaka haujapatikana.
Baadhi ya abiria wakisubiri lolote litakalokuwa jema kwao dhidi ya muafaka wa safari zao.
Mh. Aden Rage mbunge wa Tabora mjini akiwasili kituo cha mabasi.
Mbunge Aden Rage (Mwenye T-shirt Nyekundu) akifanya mawasiliano kabla ya kuongea na baadhi ya askari na abiria waliokuwa wamekusanyika katika kituo cha mabasi Tabora.
Mtandao huu utaendelea kukupa taarifa zaidi kwa chochote kinachoendelea.
0 comments :
Post a Comment