News
Loading...

Mgomo wa madereva waunguruma Tabora!


Madereva wa mabasi ya usafiri wa abiria toka Tabora kwenda Dar es Salaam na mikoa mingine wamegoma alfajiri ya leo.
Hali ilivyo katika stendi kuu ya mabasi Tabora.

Hali ya sintofahamu ikiindeilea kugubikwa mjini Tabora.

Basi la kampuni ya NBS Co.LTD yakiwa yamepaki kituo kipya cha mabasi Tabora asubuhi hii.Basi la kampuni ya HBS Express

Hakuna mwafaka unaoendelea hadi sasa muafaka haujapatikana.

Baadhi ya abiria wakisubiri lolote litakalokuwa jema kwao dhidi ya muafaka wa safari zao.Mh. Eden Rage mbunge wa Tabora mjini akiwasili kituo cha mabasi.

Mbunge Aden Rage (Mwenye T-shirt Nyekundu) akifanya mawasiliano kabla ya kuogea na baadhi ya askari na abiria waliokuwa wamekusanyika katika kituo cha mabasi Tabora.Mtandao huu utaendelea kukupa taarifa zaidi kwa chochote kinachoendelea.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :