News
Loading...

Ajali mto wami!


 
Huu ndio songamano wa magari
 uliotokea eneola ajali na kusababisha
kusimama kwa safari pande zote.
Habari ambazo hazijathibitishwa usahihi wake zinaeleza kuwa jana majira ya alfajiri karibu na daraja la Wami upande wa Chalinze palitokea ajali mbaya ambapo inasemekana watu watatu walipoteza maisha kufuatia ajali hiyo. Kibaya zaidi kila dereva aliyepita hapo alitaka aendelelee na safari yake bila kufuata sheria za usalama barabarani, jambo ambalo lilisababisha msongamano mkubwa na hatimaye kukawa hakuna gari iliyoweza kupita hapo kwa muda saa kadhaa.

Lori la mizigo likiwa limepinduka karibu na
maeneo ya daraja la wami upande wa Chalinze.
FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :