News
Loading...

Chelsea game against Man United is OFF!Arctic conditions have wrecked the weekend's football programme
Huu ni uwanja wa Newcastle united, hivi ndivyo hali ya hewa ilivyo nchini England wiki hii, kiasi imepelekea michezo kadha kuahirishwa.
Mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Man United uliokuwa uchezwe leo saa moja za usiku kwa saa za Afrika Mashariki umeahirishwa, taarifa toka kilabu cha Chelsea ilieleza " Baada ya majadiliano na Metropolitan Police, hawakuwa na kingine cha kufanya ila kuahirisha mchezo huo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka ulimwenguni kote, taarifa hiyo iliongeza kuwa mashabiki wote ambao walikuwa wahudhurie mchezo huo wametakiwa kutuma tiketi zao katika ofisi za tiketi za kilabu hicho cha mjini London zibadilishwe tarehe kwa mchezo huo utakapopangwa kufanyika tena na watarudishiwa mara mchezo huo ukipangwa upya na chama cha soka cha Uingereza(FA).  
 

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :