News
Loading...

Kifo sio tu kuwa hakina huruma, bali kipo karibu zaidi.



Hayati Swetu Fundikira na
Abuu Semhando chini

 
Dr Remmy Ongala enzi za uhai wake

Katika miaka kumi iliyopita yaani tangu mwaka 2000, kwangu mimi kifo kimekuwa karibu sana. Ninamaanisha kuwa katika kipindi hiki nimepoteza watu wa karibu sana yaani familia na marafiki na hata watu niliowafahamu tu kupitia vyombo vya habari nk, hadi kufikia mwaka huu wa 2010 na unaelekea mwisho. Mwanzoni mwa miaka hii ya 2000 nilipoteza Mama wawili, kaka, ndugu, jamaa na marafiki wasio na hesabu. Na miaka hii ya 2000 ikielekea mwisho nimepoteza kaka wawili,ndugu,jamaa na marafiki, wengine wakifia hapa Tanzania na wengine Ughaibuni. Haya nayasema mimi lakini sijui wewe mdau wangu umepoteza wangapi. Kama ilivyo ada wote tupo njia moja, cha msingi ni kujitahidi kufanya mema kidunia na kiahera wakati bado tunaweza ili tujiandae na safari ya mwisho, ambayo kila mwenye uhai ataipitia. Mungu walaze pema peponi marehemu hawa na wengine wengi!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments :

Anonymous said...

dunia ni ya kupita hivyo kumcha mungu ni wajibu wetu inshaalah.

Anonymous said...

KWELI SIKUJUA KAMA KIFO KIPO UNTILL I LOST HIM ,THE LOVE OF MY LIFE,KAMAUTANI

Mkala Fundikira said...

Thank you for the comment but i could not tell who you were talking about, there are three pictures of our brothers who passed away last year.