News
Loading...

Kifuta jasho!


Bw ANGETILE Osiah
Katibu mkuu TFF
Gazeti la Mwanaspoti la tarehe 14/12/2010 katika kifuta jasho chake liliandika " Aliyekuwa katibu mkuu wa TFF Bw David Mwakalebela alikuawa mwenyeji wa Mbeya, aliyemkaimu baada ya yeye kujitosa katika ulingo wa siasa Bw Sunday Kayuni pia ni mwenyeji wa Mbeya kama hiyo haikutosha katibu mkuu mpya wa shirikisho hilo la mpira wa miguu hapa nchini Bw Angetile Osiah pia ni mwenyeji wa mkoa wa Mbeya,
mh hii ipo vipi au ndio coincidence?
Bw Sunday Kayuni- Mkuu wa ufundi TFF

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :