News
Loading...

Hapa vipi?


Shimo barabarani.
Barabara hii inatokea ilipo shule ya msingi Makumbusho na kuelekea katika barabara inayoelekea Ally Maua kwa ujumla wake barabara hizi zipo tatu pamoja na ile inayotumiwa na daladala za Mwenge kwenda kutokea maji machafu. Hizi ni njia mbadala hasa nyakati za asubuhi na jioni ambapo watumiaji huepuka misururu mirefu katika barabara kubwa za maeneo hayo hasa ile ya Bagamoyo. Lakini njia hizi zingepitika vizuri zaidi iwapo zingewekewa lami au hata zifanyiwe matengenezo kidogo ili zipitike kwa urahisi. Hapo pichani si handaki ni shimo lililosababishwa na maji ya mvua na kutokufanyiwa matengenezo madogo kwa muda mrefu. Haya najua yanawezekana kufanyika lakini wenye kuidhinisha matengenezo hata hawazijui njia hizi hivyo haiwi kazi rahisi kwa waheshimiwa hao kujua matatizo yaliyopo katika pande hizi za jiji Chafu pengine kuliko yote Afrka Mashariki na kati.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :