News
Loading...

Wasanii sita wa THT kuzindua albam zao


Kituo cha kukuza vipaji cha THT kitazindua albam za wasanii wake sita siku ya terehe 11/01/2010 wasanii hao Mwasiti, Linah, Amin, Mataluma, Ditto na Barnaba wmejipanga kuangusha show kali katika ukumbi wa Mlimani city na ni watu mia nne tu ndio wataruhusiwa kuingia ukumbini humo, hivyo basi fuatilia kwa makini ujue tketi zitapatikana wapi na ujiwahie yako.
Jina; Mwasiti. Albam Kamili.

Jina Mataluma. Albam; Mama mubaya
Jina; Linah. Albam  Atatamani.
Jina Ditto, Albam; Wapo.

Jina Barnaba, Albam; Kichwa changu.
 
Jina Amin aka Nduli, albam Yameteka dunia.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :