News
Loading...

ufumbuzi ni bara bara mbili!


Hapa ni maeneo ya Arcade
Mikocheni (Heineken House)
Hii ni Old Bagamoyo Rd ambayo imekuwa haina asubuhi, mchana, jioni wala usiku yenyewe ni foleni mtindo mmoja, sijui kama wahusika Tanroads wana mpango wowote au ndio ule wimbo tuliouzoea serikali haina pesa huku ma Land cruiser toleo jipya yakizidi kuagizwa kwa mawaziri na maafisa wa wizara mbali mbali. Kama wana nia ya kuipatia ufumbuzi barabara hii inabidi kujenga barabara ya pili itakayopelekea kupunguza misururu hii isiyokwisha katika barabara hii. Wakazi wa Tegeta na vitongoji vyake wamekuwa wakitumia hadi masaa mawili kufika maeneo ya kufanyia shuhuli zao, kwa vyovyote hilo ni pato la serikali linapungua. Sasa kama wao hawaliangalii suala hili na wakalipuuza basi itafikia watakosa hata hizo pesa za kuzifisadia. 

Msururu kwenda na kurudi Kunduchi.


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :