News
Loading...

Nash D atengeneza music video!


Nash D akiwa na mmoja wa
waigizaji katika video yake.
Msanii wa muziki wa Bongo Flava Musa aka Nash D siku ya jana alianza kupiga picha za video yake mpya ya wimbo uitwao Mnanisema katika maeneo ya Kinondoni "B" jijini Dar, video hiyo inayafanywa na kampuni ya utayarishaji wa video ya Show biz Devine (SBD) iliyo chini ya muongozaji chipukizi lakini anayekuja juu kwa kasi ya ajabu aitwae Eryn Epidu ambaye alikuwepo eneo la tukio akichukua picha hizo kwa mkono wake. Eryn alisema video hiyo itakuwa tayari baada ya wiki mbili hivi. Mpendwa mdau mara video hiyo ikikamilika utaiona katika blogu hili kabla ya kurushwa na Tinga lolote hapa nchini. 
Mambo ya Ki south AfricaNash D na Angel.
  

Nas D akiwa na warembo wakali
 waliotia nakshi katika video yake.
  Hawa ni baadhi ya washiriki katika
 video ya msanii Nash D.
  

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :