News
Loading...

Jafa Rhymes afanya video.


Hapa wakicheza Kamari.
Lamar akipozi nwakati waki shoot
 video mpya ya Jafa-Rhymes.
Msanii wa muzki wa kizazi kipya Jafari Mshamu aka Jafa-Rhymes aka (Mzazi) ambaye pia huwakilisha katika kundi la Wateule jana asubuhi alikuwa katka hekaheka za ku shoot video pamoja na Jaydee katika wimbo unaoitwa Sio kweli ambao umetengenezwa na Lamar wa studi ya Fish crab na na video hiyo imepigwa na Adam Juma wa Visual Lab ya jijini. Mkao wa kuona basi tusubiri iruke tuione au sio?Jay Dee akipozi na Jafa-Rhymes wakati
waki shoot video mpya ya Jafa-Rhymes.
 

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :